The 6th President of the United Republic of Tanzania: Hon. SAMIA SULUHU HASSAN

Taswira Mbalimbali za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan muda mfupi baada ya kukagua Gwaride la heshima mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu Dar es salaam leo, tarehe 19 Machi, 2021.

Various pictures of the President of the United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan shortly after inspecting the parade of honor immediately after being sworn in as the 6th President of the United Republic of Tanzania at Dar es Salaam State House today, 19 March, 2021.

To learn more about the President of Tanzania:
https://en.wikipedia.org/wiki/President_of_Tanzania